Kiswahili Quiz was conducted in Lower Primary – Class 1, 2 and 3.
Pasha pasha pasha ……….Washa .
Siku ya jumamosi tarehe 27/10/2018 ilikuwa ni siku ya mashindano ya
Chemsha bongo ya kiswahili ,kwa wanafunzi wa darasa la 1,2, 3 walipasha
moto na kuwasha kwa kujibu maswali mbalimbali yakiwemo:,
msamiati, nahau, vitendawili, namba ,matamshi, mahali, umoja na uwingi,
kinyume na viumbe.
Nia Ya kushinda iliwapa moyo wa kujibu maswali kwa usahihi , na kikundi
Yellow wa darasa la 1 na 2 na Green wa darasa la tatu waliibuka kuwa
Washindi kwenye mashindano hayo makali, Hongera sana.
View the embedded image gallery online at:
http://msbdar.com/index.php/accordion-3/209-taarifa-fupi-ya-kiswahili-quiz-chemsha-bongo#sigFreeIdb0f6bee503
http://msbdar.com/index.php/accordion-3/209-taarifa-fupi-ya-kiswahili-quiz-chemsha-bongo#sigFreeIdb0f6bee503