Kiswahili; Lugha ya Taifa inajenga mahusiano mazuri and upendo baina ya watanzania wote! Wanafunzi wanapaswa kujifunza lugha hiyo kwa ufasaha.

Wanafunzi wa shule ya Al Madrasa DSM, waliandaa Tamasha la Kiswahili shuleni iliyoshuhudiwa na wazazi wote. Wanafunzi walitusimulia hadithi, kufanya michezo za kuchekesha na kuimba nyimbo mbalimbali.

Back to top